We are expecting second IPO this last quarter of the year. Keep visit our site for more market information relating to capital and securities dealing as well as upcoming IPOs that are currently best buys attracting both local and overseas investors to our Dar es Salaam Stock Exchange, DSE.
Tunatarajia IPO (uwekezaji wa awali) wa pili katika robo hii ya mwisho wa mwaka huu. Endelea kutembelea tovuti yetu kwa habari zaidi za uwekezaji kwenye soko la Hisa na Mitaji na zaidi kwenye IPOs zijazo ambazo kwa sasa ni uwekezaji unaovutia wawekezaji wengi wa ndani na wa nje ya nchi kupitia Soko letu la Hisa, Dar es Salaam Stock Exchange, DSE.