Kampuni ya Muhunda Resources katika ofisi zake za Mjini Musoma imeanza kuuza hisa za Kampuni ya Kiuwekezaji ya Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) kwa Uwekezaji wa Awali (IPO) kuanzia wiki hii. Bei ya hisa moja ni sh. 400/ – na kiwango cha chini cha Uwekezaji/Ununuzi wa hisa ni sh. 40,000/- Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. KARIBUNI NYOTE!
Muhunda Resources Limited at its offices in Musoma town has begun offering for sale to the public The TCCIA Investment PLC’s Initial Public Offering (IPO) since this week. Each share is priced at Tshs. 400/- with minimum share purchase of Tshs. 40,000/- Contact us for more information. WELCOME ALL! TCCIA IPO