Vodacom Group’s Tanzanian unit has received regulatory approval to extend the deadline of its share sale for three weeks, allowing investors more time to take part in the country’s biggest initial public offering to date.
The offer will now expire on 11 May, Ian Ferrao, MD of the Vodacom-owned business, said in a statement on Tuesday. The extension will give retail and institutional investors more time to take part, he said.
“Vodacom Tanzania expects a continued influx of applications for shares during the course of this week,” Ferrao said. Vodacom IPO Extension
Kampuni ya Vodacom imepata idhini ya kuendelea kuuza hisa zake za awali kwa muda wa wiki tatu, kutoa muda zaidi kwa wawekezaji wengi kushiriki katika uuzwaji mkubwa wa hisa za awali kwa umma hadi sasa.
Uuzwaji huu sasa utaendelea mpaka tarehe 11 Mei, Ian Ferrao, Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom alisema katika taarifa yake siku ya Jumanne. Kuongezwa huku kwa muda kwa Vodacom kutatoa fursa zaidi kwa wawekezaji wa rejareja na wa kitaasisi kupata muda zaidi wa kushiriki, alisema.
“Vodacom Tanzania inatarajia kupokea kwa wingi maombi ya ununuzi huu wa hisa katika wiki hii,” Ferrao alisema.